Tegemea Champanda
Tegemea Champanda
  • 311
  • 5 179 597
#02 Uhalisia Ndani ya Miziki - Sehemu #02
#02
Je, ukweli kiasi gani katika kile tunachokisikia na kuona kupitia miziki ya injili? Katika ulimwengu uliojawa na mazingaombwe mengi (fake), ukweli unasimama namna gani?
Tupo katika sehemu ya pili ya maongezi haya.
Fuatilia mfululizo huu kujua zaidi....
Переглядів: 47

Відео

KUFAA NA KUENDANA KWA MUZIKI
Переглядів 10921 день тому
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na upi ni muziki unaofaa katika ibada zinazoendeshwa mubashara (live). Kuna msamiati ambao umekuwa ukitumika sana maarufu kwa 'FLASH' ikimaanisha muziki unaoimbwa mubashara huku umerekodiwa pia. Video hii inaendeleza mjadala huo. Karibu ufuatilie.
Handbook, Manual & Guide
Переглядів 113 місяці тому
Tofauti ya miongozo ya kanisa la waadventista wasabato inayojulikana kama Handbook, Manual na Guide ni nini? Lakini pia ni wakati gani na namna gani hutumiwa. Falsafa ya muziki wa muadventista msabato inaangukia wapi katika hiyo miongozo mitatu? Karibu tufafanue pamoja....
#02 STAFF & CLEFS Pitch za Muziki
Переглядів 576 місяців тому
Karibu kwa sehemu ya pili katika mfululizo wa maongezi ya kimuziki. Leo tuna zungumzia kuhusu STAFF na CLEFS katika suati za muziki yaani 'pitch' Karibu ufuatilie ...
01 SAUTI ZA MIZIKI (PITCH) - Sehemu #01
Переглядів 886 місяців тому
Karibuni katika mfululizo wa makala za ki muziki zenye lengo la kuongeza ujuzi, maarifa na ubunifu wa muziki wa injili. Hapa ni somo la #01 Baada ya kufuatilia unakaribishwa kujaribu chemsha bongo katika zoezi #01 hapa chini forms.gle/1MTC1sBTZ99JTRRKA Karibu
Nadharia ya Muziki ni nini?
Переглядів 1078 місяців тому
Salamu wadau na wapenzi wa muziki. Heri ya Mwaka Mpya 2024. Je, una mtazamo gani kuhusiana na nadharia ya muziki? Karibu utoe mawazo ya kujenga hapa ...
01 Utangulizi - VIPENGELE VYA MUZIKI
Переглядів 1818 місяців тому
Karibu katika mfululizo wa makala za ki muziki wa injili zenye mlengo wa kuelimisha, kuchochea an kuwawezesha wana muziki wa injili kufanya vizuri zaidi. Je, wewe ni mmoja wapo? Karibu tushiriki pamoja.
INSPIRING HOPE - The Light Bearers TZ
Переглядів 919 місяців тому
Tunawapongeza sana waimbaji wa The Light Bearer TZ ambao wanaadhimisha MIAKA 10 YA UTUME. Hapa ni kionjo cha kazi nzuri ya injili waliyoifanya mwaka 2016 walipohuduma nchini Uingereza. Hongereni sana The Light Bearers TZ.
READING ANGAZA World Adventurer Day
Переглядів 202Рік тому
Lovely batch of young people lifting up Jesus at Reading Angaza SDA Church on World Adventurer Day, 20th May 2023. May God be praised.
KIONGOZI MKUU WA KANISA - Ijumaa, 17 Februari 2023
Переглядів 83Рік тому
Karibu rafiki katika kesha la asubuhi Ijumaa, 17 Februari 2023. Mhudumu wako ni Mwalimu Marwa Siku njema pamoja na Kristo Yesu.
MPATANISHI PEKEE - Alhamisi, 16 Februari 2023
Переглядів 54Рік тому
Karibu katika kesha la asubuhi ya Alhamisi, 16 Februari 2023 na Mwalimu Marwa. Uwe na siku njema pamoja na Kristo Yesu.
MKOMBOZI MWENYE HURUMA - Jumatano, 15 Februari 2023
Переглядів 39Рік тому
MKOMBOZI MWENYE HURUMA - Jumatano, 15 Februari 2023
ALIYE UFUFUO NA UZIMA - Jumanne, 14 Februari 2023
Переглядів 52Рік тому
ALIYE UFUFUO NA UZIMA - Jumanne, 14 Februari 2023
Isaiah's Farewell
Переглядів 318Рік тому
Isaiah's Farewell
Isaiah's Farewell - family message
Переглядів 317Рік тому
Isaiah's Farewell - family message
Uhuru wa Tanzania na Grace Matondo
Переглядів 39Рік тому
Uhuru wa Tanzania na Grace Matondo
UK Diaspora Tanzania Day 2022
Переглядів 275Рік тому
UK Diaspora Tanzania Day 2022
DAY OUT - Reading Swahili Speakers
Переглядів 145Рік тому
DAY OUT - Reading Swahili Speakers
Marehemu MCHUNGAJI BERNARD MAMBWE
Переглядів 2902 роки тому
Marehemu MCHUNGAJI BERNARD MAMBWE
Mpirani Sports
Переглядів 352 роки тому
Mpirani Sports
POKEA SIFA na The Light Bearers TZ
Переглядів 6742 роки тому
POKEA SIFA na The Light Bearers TZ
KAANDIKA JINA LANGU na tegemea champanda.
Переглядів 3482 роки тому
KAANDIKA JINA LANGU na tegemea champanda.
Vocational Bible School (VBS) - THEME SONG
Переглядів 4002 роки тому
Vocational Bible School (VBS) - THEME SONG
Swahili Gospel Music Ministry - by the Light Bearers.
Переглядів 1973 роки тому
Swahili Gospel Music Ministry - by the Light Bearers.
Major Chords katika Muziki_Aina ya Kwanza [1] Kitita C, F & G_#2103
Переглядів 3233 роки тому
Major Chords katika Muziki_Aina ya Kwanza [1] Kitita C, F & G_#2103
MBINGU ZOTE ZA HUBIRI utunzi wake JK Odera
Переглядів 1,1 тис.3 роки тому
MBINGU ZOTE ZA HUBIRI utunzi wake JK Odera
Somo la #02 Kuunda Major Chords
Переглядів 1863 роки тому
Somo la #02 Kuunda Major Chords
ISHIMWE by The Light Bearers TZ _ promo
Переглядів 3003 роки тому
ISHIMWE by The Light Bearers TZ _ promo
MUNGU KIMBILIO by The Light Bearers TZ
Переглядів 4413 роки тому
MUNGU KIMBILIO by The Light Bearers TZ
UK TOUR 2016 by The Light Bearers TZ
Переглядів 1183 роки тому
UK TOUR 2016 by The Light Bearers TZ

КОМЕНТАРІ

  • @dariusthomas-curtis9698
    @dariusthomas-curtis9698 День тому

    Sublime. Celestial. Jubilant. Expressive. Even has the black "stank" aka soul that black aggregation of singers automatically add to music. Bravo! Brava!!

  • @jeanettebabb6687
    @jeanettebabb6687 7 днів тому

    Beautiful singing it is Amazing how the lyrics touch the emotions.

  • @altonwest6774
    @altonwest6774 16 днів тому

    This was arrangement is by Dr. Nathan Carter, my choir director at Knoxville College. This school and choir gave us TAKE 6

  • @orwasolomon9456
    @orwasolomon9456 24 дні тому

    😊

  • @shukranimugasa3521
    @shukranimugasa3521 Місяць тому

    here at 2024

  • @lakiabalozi5633
    @lakiabalozi5633 Місяць тому

    Sauti nzuri

  • @frankmhoja2460
    @frankmhoja2460 Місяць тому

    Now in 2024 still a song launched very nice

  • @nshimiyimanadamascene3650
    @nshimiyimanadamascene3650 Місяць тому

    I'm from Rwanda. I love your songs dear L. Bearers

  • @JuliusWaiguru
    @JuliusWaiguru Місяць тому

    Kukopi

  • @denice4044
    @denice4044 Місяць тому

    Oh, for a faith that will not shrink, Though pressed by every foe, That will not tremble on the brink Of any earthly woe! That will not murmur nor complain Beneath the chast’ning rod, But, in the hour of grief or pain, Will lean upon its God. A faith that shines more bright and clear When tempests rage without; That when in danger knows no fear, In darkness feels no doubt. Lord, give me such a faith as this, And then, whate’er may come, I’ll taste, e’en here, the hallowed bliss Of an eternal home.

  • @TGFM7
    @TGFM7 2 місяці тому

    14:13

  • @Magdalena-lb4jn
    @Magdalena-lb4jn 2 місяці тому

    Ndashima ukuvuka ikishanga imunzeze ibhuhigwe

  • @Magdalena-lb4jn
    @Magdalena-lb4jn 2 місяці тому

    Waoòoo ndayikumbuye ikigoma yanje

  • @godlovechampanda
    @godlovechampanda 2 місяці тому

    ❤❤

  • @GivenChola-r3c
    @GivenChola-r3c 2 місяці тому

    Amen and amen glory be to God ❤❤❤

  • @JuliusWaiguru
    @JuliusWaiguru 2 місяці тому

    Naminiko,pandeza,Kenya,nikiwapata,vizuri

  • @rehemageorge
    @rehemageorge 2 місяці тому

    Hongera sana shemeji

  • @monicacoombes8299
    @monicacoombes8299 2 місяці тому

    Hongera sana mtumishi, beautiful melody, barikiwa sana

  • @JENNIFERYESAYA-ot3hg
    @JENNIFERYESAYA-ot3hg 2 місяці тому

    Am so excited for this song❤

  • @gadielnkuye7559
    @gadielnkuye7559 3 місяці тому

    I love the song

  • @marymauti4105
    @marymauti4105 3 місяці тому

    Your songs gives me hope always

  • @aishahill4379
    @aishahill4379 4 місяці тому

    Did they get a new director in 2016-2017?

  • @triplem5038
    @triplem5038 4 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @triplem5038
    @triplem5038 4 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @okiaraymond3415
    @okiaraymond3415 4 місяці тому

    Could someone please share the music of this arrangement

  • @angiebarrett8780
    @angiebarrett8780 4 місяці тому

    Song of Songs.

  • @joanjohn9500
    @joanjohn9500 4 місяці тому

    Blesssss my soul! Oh my Lord! Thank u for allowing me to hear this amazing testimonial on your behalf ! Bless these children, wherever they may be to know that this unearthly gift is stillllll inside them, wherever they may be ! Any morning, most mornings my 76 year old self , 8:07 uses this to begin my day the right way ! Thank u is so small🙏🏽🙏🏽😇💕

  • @joanjohn9500
    @joanjohn9500 4 місяці тому

    Warm my heart, touch my soul , encourage me where I most need it ??how many years later --ONLY GOD& the Magic he has placed in each of you !!!! Long after never forget the magic ! To God be the GLORY! It is within each of you! Choir director 💕& Pianist Alike ! Thank u ! Thank u ! Thank u !

  • @GressMtaki
    @GressMtaki 4 місяці тому

    Nawapenda mbrikiwe

  • @dianaouma5681
    @dianaouma5681 4 місяці тому

    I'm here 😢😢2024

  • @fleviahella9818
    @fleviahella9818 4 місяці тому

    Fj syagqy❤❤❤shUwTlqw

  • @leonkennedy5920
    @leonkennedy5920 5 місяців тому

    Wow😮

  • @immaimmanuelmcdoublei3760
    @immaimmanuelmcdoublei3760 5 місяців тому

    Big up sana ticha

  • @user-vg4sw7kp6o
    @user-vg4sw7kp6o 5 місяців тому

    Amen

  • @francisrichard5033
    @francisrichard5033 5 місяців тому

    I remember this guy "Mr Mpanduzi" alikuwa Mkurugenzi wa shule ya Mukidoma lakini aliiacha shule ikiwa very unstable akenda kuanzisha shule yake kumbe ndio hii. Longtime memories........ i shifted from mukidoma school in 2012 baada ya shule kuonekana kufa ila i still miss it to this day... Mpanduzi alipambana sana asee lakini mukidoma ilikuwa taabani sana ikamshinda. Niliacha Mukidoma iko katika mipango ya kuuzwa so i think it's now called Mariado secondary. Hope the voice school ipo hadi leo na ishakuwa kubwa!!

  • @user-je3pz5ie8n
    @user-je3pz5ie8n 5 місяців тому

    mfike mbali kwa Neema ya Mungu❤

  • @joanjohn9500
    @joanjohn9500 6 місяців тому

    That spirit! That belief ! That voice! Only God & a gifted young man blesssed my soul !

  • @johnrubuyi5694
    @johnrubuyi5694 6 місяців тому

    AMEN

  • @johnrubuyi5694
    @johnrubuyi5694 6 місяців тому

    AMEN

  • @johnrubuyi5694
    @johnrubuyi5694 6 місяців тому

    AMEN

  • @johnrubuyi5694
    @johnrubuyi5694 6 місяців тому

    AMEN

  • @johnrubuyi5694
    @johnrubuyi5694 6 місяців тому

    AMEN

  • @patsiturner9577
    @patsiturner9577 6 місяців тому

    I simply prefer other amazing songs they do that speak to me.

  • @felixmwangwela9663
    @felixmwangwela9663 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana mwalimu nitakuwa mwaminifu kufatilia kipindi hiki

  • @babahezel3470
    @babahezel3470 6 місяців тому

    Poker sifa bwana nice song

  • @RhodaMusisi
    @RhodaMusisi 6 місяців тому

    Amina! Tunataka kujifunza pia kupiga kinanda. Ninaomba mafundisho kwenye you tube - Barikiwa - Talanta yako inatubariki sana

  • @joanjohn9500
    @joanjohn9500 6 місяців тому

    Bless u All! U blessed my Soul! Thank u Master Teachers for all u have poured into these gifted young people!

  • @ladyvee3719
    @ladyvee3719 6 місяців тому

    2024 am here

  • @carolineomori1032
    @carolineomori1032 7 місяців тому

    What a hope. Lightbearers jamani you are annointed

  • @ajlmusic
    @ajlmusic 7 місяців тому

    Absolutely Glorious! The VOICES and THEE PIANIST YES SIR!!!!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥